Lady Whistledown
JF-Expert Member
- Aug 2, 2021
- 1,147
- 2,008
Mamlaka katika eneo hilo lililojitenga la Somalia, zimesitisha shughuli za Shirika la Utangazaji la Uingereza (BBC), likishutumu shirika hilo kwa kudhoofisha uaminifu wa taifa hilo. BBC ina mtandao wa wanahabari wanaofanya kazi kote Somalia ikiwemo katika eneo hilo pia
Waziri wa Habari, Saleban Yusuf Ali Kore aliuambia mkutano na Waandishi wa Habari katika mji mkuu wa eneo hilo, Hargeisa kwamba "BBC ilishindwa kutambua Somaliland kama nchi ya kidemokrasia ambayo imesimama kwa miguu yake kwa miaka 30."
Somaliland ilitangaza uhuru kutoka kwa Somalia wakati wa vita vya wenyewe kwa wenyewe vya 1991 na kujitambulisha kama Nchi huru lakini haitambuliwi Kidiplomasia na Taifa lingine lolote
.......................................
Authorities in Somaliland, a breakaway region of Somalia, on Tuesday suspended the operations of the British Broadcasting Corporation (BBC), accusing the broadcaster of "undermining the credibility of the Somaliland state."
Information minister Saleban Yusuf Ali Kore told a press conference in the northwestern region's capital Hargeisa that "the BBC failed to recognise Somaliland as a democratic country that has stood on its feet for 30 years."
"Starting from today, I have commanded all functions related to BBC in Somaliland to be suspended," he said.
Related
"The ears of the Somaliland people do not deserve the statements which the BBC uses to describe Somaliland."
Somaliland declared independence from Somalia during the 1991 civil war and has thrived as a comparative beacon of stability, but is not diplomatically recognised by any other nation.
The BBC broadcasts radio bulletins in the Somali language and has a network of journalists operating across Somalia, including in Hargeisa.
SOURCE: NATION.AFRICA