Mamlaka za utalii zije na utaratibu wa kulipia matangazo Instagram/Twitter/Facebook/tiktok

chiembe

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2015
Posts
16,859
Reaction score
28,112
Naona Kuna south Africa, Wana promoted tweets nyingi kweli, nadhani Kuna namna wanalipia, Kila ukifungua mtandao, lazima ukutane na tangazo lao la utalii.

Nadhani wizara ilione hili ili kuvutia watalii na uwekezaji
 
Lilishalipiwa hilo., utaratibu ni tofauti sana
 
Back
Top Bottom