MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,018
- 16,802
Tunawaombeni jitahidini sana pale mkiwa Mnawatumbua Wateule Wenu basi muwe pia mnatueleza na sababu Kuu za Kutumbuliwa Kwao kwani hii itasaidia mno katika dhana nzuri ya Transparency and Accountability na hata kuwa ni Funzo kwa wale Wateuliwa wapya.