Mamlaka ziwaondoe Wakuu wa Wilaya na Wakurugenzi wote na kuteua wapya wenye weledi

Sidhani kama kutakuwa ni suluhisho tatizo liko kwenye jamii, hadi mafuvu yakirudishiwa akili, jamii iliyo nyamaza ama nyamazishwa haiwezi kubuni mbinu za kutatua changamoto zake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…