A
Sorry hao Watumishi wamehama kwa njia ya Mfumo wa ESS Siyo.,, Naomba Jibu pls
Au walihama kimagumashi.
Sorry hao Watumishi wamehama kwa njia ya Mfumo wa ESS Siyo.,, Naomba Jibu pls
Baada ya Mfumo kakakabla ya mfumo Mkuu..
Kwa kuomba uhamisho wa kawaida kwenye mfumo huu, je kuna mtu kafanikisha kuhamaHapana kwa kubadilishana Mkuu
Nataka nihamie Kwa mama Kizim mkazi Ikulu, Hii ESS itasaidia?..nishachoka maisha huku Harmashauri ya Mpimbwe.Sorry hao Watumishi wamehama kwa njia ya Mfumo wa ESS Siyo.,, Naomba Jibu pls
Huu sina hakika sana nadhani mambo hayajakaa sawa..Kwa kuomba uhamisho wa kawaida kwenye mfumo huu, je kuna mtu kafanikisha kuhama
Sina hakika Mkuu..Nataka nihamie Kwa mama Kizim mkazi Ikulu, Hii ESS itasaidia?..nishachoka maisha huku Harmashauri ya Mpimbwe.
Mpimbwe au mlele mkuuNataka nihamie Kwa mama Kizim mkazi Ikulu, Hii ESS itasaidia?..nishachoka maisha huku Harmashauri ya Mpimbwe.
Mpimbwe au mlele mkuuNataka nihamie Kwa mama Kizim mkazi Ikulu, Hii ESS itasaidia?..nishachoka maisha huku Harmashauri ya Mpimbwe.
Utasubiri sanaNataka nihamie Kwa mama Kizim mkazi Ikulu, Hii ESS itasaidia?..nishachoka maisha huku Harmashauri ya Mpimbwe.
Weee.Utasubiri sana
Ile ni biashara watu wanahama kimyakimyaWeee.