Mamluki hawawezi kuleta maendeleo kwenye soka hata wakileta kontena la hela

Mamluki hawawezi kuleta maendeleo kwenye soka hata wakileta kontena la hela

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
- TotalAFCONU17 Dakika ya 75_  Tanzania U17 2-4 Angola U17 ( Omary 12', Ngoda 43'.jpg


Bila kuwepo ushirikishwaji wa wanaojua soka na tukiacha kuweka misukumo ya kisiasa yenye ajenda za nyuma ya pazia hatutafika popote .

Dharau , matusi na majivuno dhidi ya wengine ambao ndio wenye soka lao ndio kaburi la maendeleo ya soka la Tanzania.

Mungu hataniwi .
 
View attachment 1076746

Bila kuwepo ushirikishwaji wa wanaojua soka na tukiacha kuweka misukumo ya kisiasa yenye ajenda za nyuma ya pazia hatutafika popote .

Dharau , matusi na majivuno dhidi ya wengine ambao ndio wenye soka lao ndio kaburi la maendeleo ya soka la Tanzania.

Mungu hataniwi .
Ni hatari sana utasikia uzalendo poor tanzania
 
kama kweli wangekuwa serius.. ishu zote zinazohusu soka zingefanywa na wanaolijua soka in and out..

wachezaj wetu wastaafu hawatumiki kabisa.. kina mwameja, ali mayai, ila wanatumika kina wema sepetu, mobetto, edo kumwembe na bashite,
 
Hatari Sana hii..

Tungeshinda ungesikia wanavyojinasibu ,na Sera zao.

Piga chini Waziri mwenye Dhamana,na Naibu wake..hawawezi kwepa huu upuuzi unaoendelea.
 
Dah! Michuano mumeandaa wenyewe, na bwana mkubwa akaongeza Bilioni moja kwa ajili ya maandalizi halafu mnakunywa magoli na kuwa out
Mkuu mpira ni maandalizi ya muda mrefu ya kuandaa vijana!! Weww angalia kama nigeria, Cameron, vijana wana kama miaka mingi wako pamoja, mpira wa kufundishwa, wewe unakuja na ahadi za vikao vya harusi!!! Mala jamaa ni vijeba!!! Hata huko misri tunakwenda tu, umeshawasikia wanasema kundi mchekea kweli!!!
 
Eti DAB anaongoza mikakati ya ushindi? Hata Uganda ni kama 'walitupa' ule ushindi! Hatupo siriaz katika michezo!
 
kuna siri kubwa sana kwenye ushindi ule , uchunguzi ukifanyika ni aibu !
Tusubilie labda kama kutakuwa na nafasi ya best looser of all the tyme, ndio wazee wa ganda la ndizi wadumbukieee!!! Halafu cha ajabu watu tumeingia kama wenyeji tu lakini mikwala hiyo tunayowapiga hao waliogombania hizo nafasi hadi aibu!!! Yule chakubanga aje sasa atupangie hizo bao 12, zina manisha nini? Zile za wakubwa alisema ni miundo mbinu mitatu ya kimkakati!!!! Ktk kutekeleza ilani yao!!!
 
Mwakyembe ametoa bungeni sababu za kichovu sana ! huyu bila shaka ni waziri mzigo
 
Kilichonishangaza zaidi ni sababu alizozitoa waziri mwakyembe,kwamba maskauti ndio chanzo cha Serengeti boys kufungwa mechi zote,hapa waziri kaonyesha udhaifu mkubwa katika mambo ya soka.huyu siasa nyingi na bra bra kibao.
 
Back
Top Bottom