Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Ni hatari sana utasikia uzalendo poor tanzaniaView attachment 1076746
Bila kuwepo ushirikishwaji wa wanaojua soka na tukiacha kuweka misukumo ya kisiasa yenye ajenda za nyuma ya pazia hatutafika popote .
Dharau , matusi na majivuno dhidi ya wengine ambao ndio wenye soka lao ndio kaburi la maendeleo ya soka la Tanzania.
Mungu hataniwi .
Tumeonya sana kuhusu mambo haya ila tunapuuzwaNi hatari sana utasikia uzalendo poor tanzania
Hayo ndio wanayaweza tu!!! Lakini kwingine huko hakuna kitu ni vitasa tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] we jamaa ww
Mkuu mpira ni maandalizi ya muda mrefu ya kuandaa vijana!! Weww angalia kama nigeria, Cameron, vijana wana kama miaka mingi wako pamoja, mpira wa kufundishwa, wewe unakuja na ahadi za vikao vya harusi!!! Mala jamaa ni vijeba!!! Hata huko misri tunakwenda tu, umeshawasikia wanasema kundi mchekea kweli!!!Dah! Michuano mumeandaa wenyewe, na bwana mkubwa akaongeza Bilioni moja kwa ajili ya maandalizi halafu mnakunywa magoli na kuwa out
kuna siri kubwa sana kwenye ushindi ule , uchunguzi ukifanyika ni aibu !Eti DAB anaongoza mikakati ya ushindi? Hata Uganda ni kama 'walitupa' ule ushindi! Hatupo siriaz katika michezo!
Tusubilie labda kama kutakuwa na nafasi ya best looser of all the tyme, ndio wazee wa ganda la ndizi wadumbukieee!!! Halafu cha ajabu watu tumeingia kama wenyeji tu lakini mikwala hiyo tunayowapiga hao waliogombania hizo nafasi hadi aibu!!! Yule chakubanga aje sasa atupangie hizo bao 12, zina manisha nini? Zile za wakubwa alisema ni miundo mbinu mitatu ya kimkakati!!!! Ktk kutekeleza ilani yao!!!kuna siri kubwa sana kwenye ushindi ule , uchunguzi ukifanyika ni aibu !