Mwambie kuwa we Fame nimewaka na Lupembe yako nahitaji Makonyezi.Ila chungamila dogo usije ukapata Marukanga. Halafu ukiwa tee kabisa inakuwa foo inabidi uwe na Mzigo kwa sababu siku hizi Fame wengi wanawaka na Mzigo.Ukiwa tee utapata Fame za foo ila ukiwa na Mzigo utapata Fame za biee au Fame za Biloko.