Pimpo Member Joined Oct 16, 2011 Posts 57 Reaction score 70 Oct 18, 2011 #1 Mancini alitoweshwa inter sio kwasababu ligi ilimshinda, ila tu champions ligi ilimkataa. Na kwa sasa barclays wikiend hii ngurue atachunwa ngozi nyumbani kwao. Sasa ataweza kupita kwenye group a kundi lisilo na wenyewe.? Wadau mnaniambiate
Mancini alitoweshwa inter sio kwasababu ligi ilimshinda, ila tu champions ligi ilimkataa. Na kwa sasa barclays wikiend hii ngurue atachunwa ngozi nyumbani kwao. Sasa ataweza kupita kwenye group a kundi lisilo na wenyewe.? Wadau mnaniambiate