kama city atafanikiwa kupita salama ktk miezi migumu ya EPL yaani November,December na January itakuwa ngumu sana kumzua asichukua kombe
ni kweli mkuu japo mm in man utdMan City watakuwa Mabigwa wa EPL msimu huu na watafanya vizuri sana kwenye champion league. They are head and should above everybody else. Msimu uliopita tatizo lao lilikuwa defence. Mwaka huu defence yao ni nzuri sana na kwenye midfields and attacks they have improve. Can't see anybody getting even close to them. May be if they get a lot of injuries.
hahahahBingwa ni Arsenal "nimenukuu maneno ya Wenger"
Yawezekana sana maana ana vijana wenye kujituma sana sana sana.hahahah
Tottenham ataushangaza ulimwengu!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]arsenal wakishinda EPL nitang'oa meno yangu ya mbele yote nibaki na mapengo
Hahaha..arsenal wakishinda EPL nitang'oa meno yangu ya mbele yote nibaki na mapengo