Man city Anaweza kuwa bingwa Epl

Ubingwa bado mpaka mai 2018, ndo tutaanza kumfahamu, EPL bado mechi nyingi MNO kuchezwa
 
Ligi ile siyo ya kupigia ramli kiasi hicho. Ubingwa hutegemea yafuatayo
1.majeruhi ya wachezaji mhimu ktk timu. Yaani ikiwa wachezaji mhimu hawatapata majeraha ya kudumu basi ni rahisi kuufikia ubingwa. Mf. Arsenal huukosa ubingwa kupitia hapa hata ikiwa ana point nyingi.

2.Migogoro ktk timu na maslahi, ikiwa hakuna migogoro baina ya kocha na wachezaji ni rahisi. Kocha aweza kuwa mzuri akachukiwa na wachezaji timu hugawanyika.
Usirahisishe ubingwa tena ligi ya uingereza. Yeyote aweza kuwa bingwa huo ndiyo ukweli wangu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…