Man City:kutoka Nafas Ya 2 Hadi 4,baada Ya Kipigo Cha Jana Ucku

Man City:kutoka Nafas Ya 2 Hadi 4,baada Ya Kipigo Cha Jana Ucku

Mwinjilist mtume nabii

JF-Expert Member
Joined
Feb 21, 2015
Posts
2,437
Reaction score
1,097
Ligi Kuu Uingereza Iliendelea Tena Hapo Jana Kati Ya Man City Na Crystal Palace, Ambapo Man City Imejikuta Ikipokea Kipigo Cha Goli 2 Kwa 1, Hadi Halftime Man City Ilikuwa Nyuma Kwa Goli, Na Mara Tu Baada Ya Kipindi Cha Pili Dkk Ya 48 Crystal Palace Ikaongeza Goli La Pil, Baada Nao Man City Wakapata Goli La Kufutia Machozi Kupiti Yaya Toure. Kwa Matokeo Sasa Man City Inashika Nafas Ya 4 Ikiwa Na Pointi 61, Man U 62,na Arsenal Sasa Inashka Nafas Ya Pil Kwa Pointi 63, Huku Vinara Chelsea Wakiwa Na Pointi 70
 
arsenal imekuwa tamu kama mcharo. tunamkimbiza mwizi kimyakimya
 
Mpira ndio ulivyo mkuu. Angalia hapa kwetu Mtibwa kutoka nafasi ya kwanza na sasa wanapigana wasishuke daraja, ni wa tatu kutoka mwisho.
 
Back
Top Bottom