JanguKamaJangu
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 2,780
- 6,607
Mchezo wa jana naona Bahasha zilifanya kazi. VAR na Refa pamoja na washika vibendera walilamba bahasha....maana si kwa kuwaona vile Man City. Nahitaji team ishinde kihalali na si kuonewa. Jana wazi kabisa Refarii alikuwa kalamba bahasha. Lile goli lilikataliwa kwa kosa lipi? Wachezaji wa Liverpool waliunawa mpira ndani ya box la penalt mara mbili lakini Refarii hakujali kabisa. Hovyo kabisa.ManchesterCity imeendelea kushika usukani wa Premier League kwa kufikisha pointi 29 licha ya kulazimishwa sare ya goli 1-1 katika mchezo dhidi ya Liverpool yenye alama 28 kwenye Uwanja wa Etihad, leo Novemba 25, 2023
Erling Haaland amecheka na nyavu upande wa City dakika ya 27 huku Alexander-Arnold akiisawazishia Liverpool dakika ya 80.
Mara baada ya filimbi ya mwisho Kocha wa City, Pep Guardiola na mshambuliaji wa Liverpool, Darwin Nunez walionekana kurushiana maneno huku chanzo kikiwa hakijajulikana.
Amesikia ushauri wako. Nimefurahi sana.
Kweli kabisa, Like goli la Troussand lilikataliwa kwa sababu zipo? Nadhani Ligi Kuu Wana hasira na Arteta kwa sababu amegoma kunyamaza!!!Sioni sababu ya kuendelea na matumizi ya VAR ligi ya EPL kwani matukio mengi yanaleta ukakasi,,