Man city:Ubatizo wa Moto mnaoutoa sasa hivi Epl uhamishieni Uefa.

Boutafrica

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2014
Posts
974
Reaction score
2,106
Ni dhahili sasa hv City ndo bingwa Epl na hili hata sisi haters by nature tushalikubali ....ombi langu kwako Guadiola,mpaka sasa ushatupotezea ladha ya Epl.....huku tulishazoe big four watu wanapishana point 2 au 1,sasa mpk dk hii kupenda sifa za kijinga eti ushakumbatia point 14 zaidi,
Sasa ni hivi tunaomba huu mziki wapelekee kule Uefa tukuone,huku Epl unatuonea tu sasa hv.

Povu Ruksa.
 
Jamaa anajua mpira kocha bora kabisa
 
UEFA napo ameanza vizuri pia, alipoteza mechi ya mwisho wakati alishajua haina madhara kwake,
walisema alishinda kwa bahati alipocheza na man u, leo kaamua kumpiga chenga kipa na kubaki na Goli na kufunga nayo ni bahati? huyu jamaa ana sifa za kijinga sana, hana fare play kabisa.
 
Ni dhahili sasa hv City ndo bingwa Epl na hili hata sisi haters by nature tushalikubali ....ombi langu kwako Guadiola,mpaka sasa ushatupotezea ladha ya Epl.....huku tulishazoe big four watu wanapishana point 2 au 1,sasa mpk dk hii kupenda sifa za kijinga eti ushakumbatia point 14 zaidi,
Sasa ni hivi tunaomba huu mziki wapelekee kule Uefa tukuone,huku Epl unatuonea tu sasa hv.

Povu Ruksa.
eeb bwana si mchezo arbino anatupa raha ya kufa mtu
 
Back
Top Bottom