Man City Vs Arsenal | Ngao ya Jamii | Wembley Stadium | 06.08.2023

Mwanadiplomasia Mahiri

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2019
Posts
491
Reaction score
1,907
Leo kuna mchezo mkubwa sana pale England. Ni mchezo wa ngao ya jamii, Man City Vs Arsenal.

Man City ni bingwa mtetezi wa EPL pamoja na FA Cup hivyo atakutana na Arsenal aliyeshika nafasi ya pili msimu uliopita.

Miaka ya karibuni Arsenal amekuwa kibonde wa Guardiola, watu wanatarajia labda Arsenal atajitutumua leo.

Mechi itakuwa live kuanzia Saa 12:00 jioni kwa saa za Afrika ya Mashariki kupitia ulimwengu wa mabingwa Dstv.

Tupia ubashiri wako
 
Ebwana eeeeee! Nipeni link ya kucheki hii game.!
 
arsenal akaze nyorro asiwe kibonde daily
 
Mende kaangusha kabati
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…