Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
- Thread starter
-
- #41
🤣🤣Kwa hiyo ndo kusemaa!? Na wewe uko ugiriki!?. Eti eeh!?
..Enhee mkuu, naona upo hapo ugiriki!!!....
Hebu nipe hali ya hewa ya hapo estadio georgios karaiskakis...
Hivi lile geti la nyuma.... jekundu bado linatumika!? Maana nna muda sijakanyaga hapo!
Kwenye final tatu za mwisho hakuonekanaHaaland unaweza sema hayupo
Mi kilivyoisha tu kipindi cha kwanza nikasepaKwenye final tatu za mwisho hakuonekana
Ni goal la pili katika final mbili mfululizo62’ Cole Palmer anasawazisha
1-1
Hii ela imeliwa tabu kama ningelala ningeutana tu na won basi ingeisha88’ City 1-1 Seville