Tar 14 atapoteza
Sawa ndugu lakini kaa ujue kuwa "mpira unadunda". Mechi bado nyingi sana, ligi inaishia mwezi 5. Man City akipoteza mechi 3 na kutoa draw 3 tu habari yake imekwisha. Tuombe uzima, mwezi 5 TUKUTANE kwenye uzi huu.Ahahaaaaaaaaaaah...
Naomba niandike kwa herufi kubwa...
WEWE NI MWEHU..!!!
Wakati anapoteza na kudroo hao wengine watakua wakishinda tu?Sawa ndugu lakini kaa ujue kuwa "mpira unadunda". Mechi bado nyingi sana, ligi inaishia mwezi 5. Man City akipoteza mechi 3 na kutoa draw 3 tu habari yake imekwisha. Tuombe uzima, mwezi 5 TUKUTANE kwenye uzi huu.
Ndiyo maana ya mpira kudunda.Wakati anapoteza na kudroo hao wengine watakua wakishinda tu?
Ahahaaaaaaaaaaah...Sawa ndugu lakini kaa ujue kuwa "mpira unadunda". Mechi bado nyingi sana, ligi inaishia mwezi 5. Man City akipoteza mechi 3 na kutoa draw 3 tu habari yake imekwisha. Tuombe uzima, mwezi 5 TUKUTANE kwenye uzi huu.
Sawa ndugu lakini kaa ujue kuwa "mpira unadunda". Mechi bado nyingi sana, ligi inaishia mwezi 5. Man City akipoteza mechi 3 na kutoa draw 3 tu habari yake imekwisha. Tuombe uzima, mwezi 5 TUKUTANE kwenye uzi huu.
Sasa uchambuzi upi hapo?Hello wakuu kwema kwanza nikiri kuwa hawa jamaa Man city kwa sasa wapo vizuri ila kwa uzoefu wangu kama mchambuzi nawaona wakianza kuangusha point very soon hazitapita mechi 3 bila wao kupotea either kwa kufungwa au kudraw mark my words