Man dies of "sexual sweetness" imekaaje hii

Mani H

Senior Member
Joined
Mar 25, 2011
Posts
180
Reaction score
46
malawian man who collapse and die while having sex with a prostitute was killied by sex sweetness, wanajf hii imekaaje maana me binafsi aingii akilini.
 
Haaaaa! ndio mpaka afe!!!huyo kahaba asije tu tz tutawapoteza wengi hata kama wataambiwa ukimchukua lzm ufe, watamkimbilia tu kwa bei yoyote na wanawake wengi watabaki wajane!km ni kweli mungu epushia mabali!
 
Sweetness? kakutana na jini huyo au mke wa mtu wakaamua kusingizia kuwa ni kahaba au labda mkewe kamtegeshea mumewe "tego".
 
huyo alikuwa na magonjwa yako ya moyo. Hakuna utamu wa kuuwa mtu .
 
utamu gani huo..jamaa alikuwa na yake,sijui alikuwa kwenye dozi (alu)akagonga na konyagi ndogo then akaenda kukipiga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…