Seneta Wa Mtwiz
JF-Expert Member
- Sep 23, 2013
- 3,635
- 4,160
KWANI TOFAUTI NA HILI GAMEGK anajiaibisha, ni bora alivyokuwaga kimya tukawa tunammiss
USHAURI MWINGINE NI WA KICHOCHEZI!Demu wake Diva kamshauri
[emoji3] [emoji3] [emoji3] kwanza ajue kuoga na kujisafisha ndo adeal na mama wema!We uliye anzisha hii thread nta mwambia mama wema akushughulike sasa
[emoji124]
[emoji121]We uliye anzisha hii thread nta mwambia mama wema akushughulike sasa
[emoji124]
MKUU[emoji3] [emoji3] [emoji3] kwanza ajue kuoga na kujisafisha ndo adeal na mama wema!
[emoji3] kwa nini?MKUU
BILA SHAKA WEWE NI MWAKILISHI WA #NDUGU_SHOLO MWAMBA HUMU.
Demu Diva akikusikia atakwambia Boxer inanukaGk bora atulie tu game imeshamtupa mkono na hapendezi kbsa kawa zee kabsa jana alikua fnl yaaan midevu ka muasi wa kongo na jimbo lake ndo baaaya bora atulie atunze heshma yake ule mkofia wake kA mabutu seseseko
Mama wema anashindana Na Mange Kimambi[emoji3] [emoji3] [emoji3] kwanza ajue kuoga na kujisafisha ndo adeal na mama wema!
Tofauti na hili game huyu kaka etu G.K ana deal na kukaa UPANGA EAST COASTKWANI TOFAUTI NA HILI GAME
HUYU KAKA'ETU G.K ANASHUGHULIKA NA NINI??
AU NA YE' ANASUBIRIA HIZI AJIRA ZILIZOSITISHWA HIZI??
[emoji28][emoji28]Gk bora atulie tu game imeshamtupa mkono na hapendezi kbsa kawa zee kabsa jana alikua fnl yaaan midevu ka muasi wa kongo na jimbo lake ndo baaaya bora atulie atunze heshma yake ule mkofia wake kA mabutu seseseko
Hahahhh G.K apumzike tu mziki si watu kwa kumchoka ukuTofauti na hili game huyu kaka etu G.K ana deal na kukaa UPANGA EAST COAST
Mmeanza na nyie uyo ni mtu maarufu acha watu wamwambie wanachojisikia akitaka kufata ushauri aya akiachana nao aya ila mziki astaafu kwa kweli si kwa nguo zile za kizaman shirt la maua ya x-mass na bwanga [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hii threed ni "pesonal attacking" inatakiwa kufutwa" ila ma mid ndio wenye kuchafua watu wa kufutia threed!
[emoji121]Hii threed ni "pesonal attacking" inatakiwa kufutwa" ila ma mid ndio wenye kuchafua watu wa kufutia threed!