Weka video ili habari yako inogeWasalaam wana jf.
Kama mtakuwa na kumbu kumbu E-FM na Man fongo waliingia kwenye mgogoro baada ya Man fongo kukubali kufanya show lakini dakika ya mwisho kabisa hakutokea eneo la tukio na kuonekana kwenye jukwaa la Clouds FM.
Mgogoro huu ulipelekea nyimbo za Man FONGO kutopigwa E-fm lakini leo hii imeonekana kabisa mambo yamekwisha na amani imepatikana.
Nifuraha sana kwa walio kwaruzana wakipatana.
Mm ni binadamu na siyo kuku km ww ulivyo.wewe ni kuku mgeni jukwaa hili.
Nimemuona jumamosi anapafomu pale Kawe kwenye shindano la EFM, alipopanda tu mzee wa kama una geto onyesha funguo ,Sholomwamba alipagawisha mashabiki ambao walianza kumtunza pesa na kumpa shangwe kubwa tofauti na man fongo.
Kwasasa Sholomwamba anakimbiza ,akifuatiwa na dula makabira mzee wa utatoa hutoi ...Msagasumu yeye yupo constant hapandi wala hashuki ila Man fongo kaporomokaaaaa
Dulla Makabila ninamwelewa sana na kibao chake cha Hujaulamba - Utatoa Hutoi.
Ni muziki mbaya kupitia kiasi kuasisiwa Tanzania.Hiyo miziki yao ya singeli kwishnei tupa kule
enzi zake yupo juu dullah makabila alimuomba colabo akamwambia akaongee na meneja wake makabila kurudi kwa meneja akamwambia hamna shida nendeni studio malizana na manfongo akawa anakwepa
leo anamfata makabila yupo juu anataka colabo makabila nae akamjibu ngoja niongee na meneja anakwambia mwenzio akikufanyia ubaya na ww unamlipa kwa ubaya mzee wa utatoa hutoi ndio kiboko yao nafasi yake hii
Ni muziki mbaya kupitia kiasi kuasisiwa Tanzania.