muhamar Gadaf
JF-Expert Member
- Jul 5, 2017
- 1,101
- 1,050
wakuu salaam ; nimepotea kariakoo,
mapema leo asubuhi nilifika asubuhi kwa ajili ya shooping kidogo;
nikakusanya mazaga mazaga , sasa tayati kwa kurudi....... kimbembe kikawa ni wapi pakupandia gari kuelekea ubungo......
nimejikuta natokezea posta....
dar sirudi tena
Sent using Jamii Forums mobile app