Man is "worth more dead than alive"

Man is "worth more dead than alive"

Masokotz

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2018
Posts
3,713
Reaction score
6,121
Nimeandika andiko hili nikiwa natafakar ni upi uelekeo wa maisha yetu;
Najua andiko hili linaweza kuwafanya Jubilee insurance kuuza BIMA ya maisha kwa kiwango kikubwa zaidi kuliko hapo awali na iwapo watafanya hivyo hivyo basi nitaomba wafanye namna wanitafute.Kwa hakika nimekata BIMA ya Maisha kawa ajili ya familia yangu ambayo kwa hakika nikiifariki dunia wakati ikiwa bado actve basi kwa hakika familia yangu itakuwa na utajiri mkubwa kuliko ilivyowahi kuwa nao wakati nikiwa hai.

Kwa ufupi ni kwamba,ninapoandika andiko hili "I am worth more dead than alive." Swala ambalo ninataka nikuulize wewe msomaji wa andiko hili hili Je una thamani gani ukiwa hai?Je unathamani gani ikiwa umekufa?Namaanisha kwamba Je ukiwa hai na ukiwa maiti which aspect of you is worth more in terms of Assets and Liability?

Weng wetu tunadharau ama kuchukulia poa sana suala la kuwa na BIMA ya maisha.Hii ni kutokana na uchanga wa sekta yetu ya BIMA lakini pia na kutokana na ukosefu wa Maarifa.Ndio maana ni watu wachache sana wanaofikiri kwamba kuwa na BIMA ni jambo muhimu na la lazima.Tunatahamini magari yetu kuliko maisha yetu kwa sababu tu ya matakwa ya kisheria.Bima ya Gari third Party kwa mwaka ni TZS 118,000 ila ikiwa comprehensive bei ni tofauti lakini bado wengi wetu tunaona kuwa na BIMA ya AFYA kwa ajili ya afya zetu au kuwa na BIMA ya maisha kwa ajili ya watoto wetu ni jambo la kuchukulia mzaha.

Najua uwezo wa kiuchumi unaweza kuwa kigezo lakini hilo haliondoi ulazima wa kuwa na BIMA

Kichwa cha mada hii nimekitoa katika kitabu cha "Death of a salesman" cha mwaka 1949 ambacho kilimzungua Afisa mauzo aliyekuwa na ndoto kwa kubwa kwa ajili yake na familia yake ana ambaye alipitia changamoto nyingi sana.

Lengo langu sio kumzungumzia Afisa Mauzo huyu aitwaye Will Loman au mwandishi wa kitabu hicho Arthur Miller.Hapana.

Lengo la andiko hili ni kujadili mbinu na changamoto kufanya mauzo kwa wajasiriamali wadogo.Je umejizatti katika kuhakikisha kwamba mbinu zako za masoko zinakupa matokea sahihi?

Karibu tujadiliane zaidi kuhusu UTAFUTAJI WATEJA,MBINU na CHANGAMOTO huku tukitiana moyo na kukumbushana kwamba NO SALE,NO BUSINESS

Kwa ambao wangependa kufahamu zaidi kuhusu Mafunzo YETU ya NO SALES,NO BUSINESS tafadhali tuwasiliane kwa email:masokotz@yahoo.com

Utatumiwa taarifa ya Ratiba ya MAFUNZO hayo na UTARATIBU wa kushiriki

Nawatakieni Siku NJEMA

HAPPY SELLING
 
Back
Top Bottom