Man killed by cousin for supporting presidential

Man killed by cousin for supporting presidential

Donatila

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2014
Posts
7,772
Reaction score
22,598
tafxgbc4wlgnqh5980e18e014a4.jpg

KENYA: Mtu mmoja ameuawa na Binamu yake baada ya kuzozana kuhusu Wagombea wa urais nchini humo. Inadaiwa kuwa Mfuasi wa Odinga ndiye aliyeuawa.

Wawili hao kwa muda mrefu wamekuwa wakirumbana kuhusiana na masuala mbalimbali kuhusiana na uchaguzi mkuu wa nchi hiyo unaotarajiwa kufanyika mnamo Agosti 8 mwaka huu.

Aidha watu wazima katika eneo wanaloishi waliwasihi kuwaunga mkono wagombea watakaowataka lakini wahakikishe wanatunza na kulinza amani.


======

The two residents have been reading from different scripts since the campaigns started

An argument between two relatives on who between President Uhuru Kenyatta and Opposition leader Raila Odinga should be elected ended tragically when one of them hacked the other to death.

Dennis Luke, a supporter of Raila, the National Super Alliance presidential candidate, was, according to witnesses, killed by a cousin who supports President Kenyatta, the Jubilee Party candidate.

The two residents of Shirumba village, Ikolomani sub-county, have been reading from different scripts since the campaigns started.

"Elders advised them to support candidates of their choice but maintain peace since they were brothers, but they did not heed the advice," said Jacob Amukoye.

David Ilamwoya, a relative, said the victim came home drunk and armed with a panga and started threatening people.

"He (Luke) attacked his cousin, who snatched the panga from him and used it to defend himself. Luke has been threatening to kill family members who are against his preferred candidate," Mr Ilamwoya said.

On realising that he had killed his cousin, the man took off but was arrested by the police in Malinya village.

Source: Standard Media
 
Watu wajinga sana, upumbavu namna hii bado uko duniani?
 
Halafu hao wanaopiganiwa wenyewe wanaelewana na kuskizana kama walivyo kwenye picha hapo
 
Back
Top Bottom