Man killed for having sex with mother

Beth wewe una maneno
 
ILA KENYH KWELI MMEZIDI USHETANI, DAAAAH!!! SASA LAKINI WASILAUMIWE HAO WALEVI MTU NA MWANAE KUFANYA VIOJA HIVYO MKASAHAU KUILAUMU POMBE! NA WENGINE WANAJIFANYA ETI WAO WANAKUNYWA KISTAARABU. KUNA SIKU UTAMU UTAKOLEA UTAJIKUTA MNAFANYA MAAJABU MENGINE. NYIE ENDELEENI TUU
 
Kamuua mwenzie na yeye anaenda jela maisha,
Mama ata tafuta kiben ten kingine ataponda raha,
Hasira Hasara
 
Dunia inaenda speed kwelii yaan....
C o kwa haya matukio..
 
Hivi Wakenya mna nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
Hii tabia haina nchi, jirani yangu hapa analala na kijana wake chumba kimoja kitanda kimoja wapo wawili tu binti mkubwa wa yule mama hakai nao kaondoka Kwa aibu, Mimi nikiwaangalia nawaona kama hawako sawa hasa mama, ni kama Jamii imewatenga, wapo wapo tu kama ni laana basi imeingia hasa. Maana mama Hana kazi na kijana naye hana kazi ila nahisi mama ndiye aliyemfundisha mwanae na alianza akiwa mdogo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa si ndo pigo lenyewe hili mambo kama haya tunarudi kwenye Sodoma na Gomora usishangae mambo kama ya korona
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…