Man killed for having sex with mother

Hizi movie za Porno zinaharibu sana hiki kizazi,kila watakachokiona watataka wakijaribu!
 
Huyo mama ni mzima kiakili ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu kulala chumba kimoja una uhakika wana sex

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu kulala chumba kimoja una uhakika wana sex

Sent using Jamii Forums mobile app
................Hivi mzee ukiwa kama kijana mtu mzima unaweza kulala chumba kimoja wewe na mama yako mwanzo wa mwaka mpaka mwisho wa mwaka?

Normally wanaume kuna ile kuamka asubuhi na kukuta uume umesimama,so wewe unaona ni hekima kuamka mbele ya mama yako ukiwa ktk hali hiyo kijana above 20?au yeye kuamka akikuona ktk hali hiyo?

Swali;kwanini kulala chumba kimoja ikiwa kijana ameshakuwa mtu mzima na mama bado anaonekana m'bichi?na nyumba ina vyumba vingine kwanini asiende kulala chumba kingine?

Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…