Man made money.. Ukata unatoka wapi!?

Man made money.. Ukata unatoka wapi!?

ricci11

New Member
Joined
Nov 9, 2022
Posts
4
Reaction score
8
Habari wapendwa kama nitakuwa sipo sawa naomba mnioe maelekezo ambayo yatanisaidia.

Pesa inatengenezwa kama bidhaa nyingine, lakini sijajua ugumu unatoka wapi wa kutengeneza pesa nyng ili watanzania tukafurahia maisha kiwepesi zaid na kuanza mambo mengne ya kimaisha kutokana na serikali yeti kutupaa pesa ambazo zimetengenezwa. Laiti kama pesa ingekuwa inatoka mbinguni bas tungekubali ugumu wa maisha unatokana na kusubiri pesa kutoka mbinguni, na tungekuwa tunapambana kuisubiri ck hyo mungu atakapoidondosha.

Je tuamini kuwa watanzania tunateswa na viongozi wetu wenyew au sheria ya utengenezaj wa pesa ya kitanzania ndio inatubana!?
 
Ongezeko la watoto wadogo katika mtandao wa Jamii forums.... ricci11 jaribu kusachi utakuta mada kama hizo zilishajadiliwa na wakubwa wako kitambo sana. Itakusaidia kuongeza maarifa.
 
Back
Top Bottom