Man pleads guilty to sodomising boy at children’s home in Machakos

Influenza

JF-Expert Member
Joined
Jul 1, 2018
Posts
1,509
Reaction score
3,756
Ni Mtuhumiwa David Mutuku Katuku anayedaiwa kunyanyasa kijinsia Watoto katika kituo cha kulele watoto cha Martyrs of Uganda kilichopo Kimutwa, Kaunti ya Machakos

Akiwa mbele ya mbele ya Mahakama ya Hakimu Mkazi ya Machakosa, alikiri kumlawitu mtoto mmoja na kukataa kwamba watoto wengine 8 hajawahi kuwafanyia hivyo

Mshtakiwa huyo ataendelea kubaki kwenye mikono ya Polisi baada ya Hakimu kuagiza kuwa ripoti ya awali ya dhamana iandalie na kupelekwa Mahakamani ili kujulikana kama atapata dhamana hiyo

Hata hivyo, Mwongoza Mashtaka wa Serikali alipinga wazo la mtuhumiwa kupewa dhamana akibainisha kuwa awali alipokuwa anatafutwa na Polisi kwa mahojiano alikimbia
====

A man accused of sexually assaulting minors at the Martyrs of Uganda Children’s home in Kimutwa, Machakos County, has pleaded guilty to sodomising one of the nine boys he had been accused of molesting.

The suspect; David Mutuku Katuku, was arraigned before Machakos Resident Magistrate E. Analo where he was charged with sodomising nine boys.

He pleaded guilty to one of the counts and denied the other eight.

The accused will however remain in custody after the magistrate ordered that a pre-bail report be prepared and filed in court to inform whether the accused will be granted bond.

The prosecution opposed the release of the suspect on bail noting that he went into hiding after knowing police were searching for him following the incident.

The court was further told that it would be difficult to trace the accused as investigations, continue since he has no known abode as he was being hosted a relative

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dear heaven father, I come to you today to remove all evil spirits, keeping them on harm way, never allow our children die broke
 
khabithi huyu wanyonge kabisa sijui wanapendea nini Haya mambo! hawa jamaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…