Man U anakuwa bingwa UEFA mwaka 2019

Man U anakuwa bingwa UEFA mwaka 2019

Freewine

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2018
Posts
257
Reaction score
211
Timu inaelewana na kizuri zaidi timu inachukuliwa kama underdog hivyo mpinzani akija na mentality hii lazima ageuziwe matokeo kama alivyofanyiwa vijibibi vya Turin palepale kwao akala kipigo.
Man U fans tujiandae kusherekea kubeba ndo ya UEFA msimu huu 2018/19.
TChao uwe na ushabiki mwema
 
Kumbe manabii walikuwa na kazi sana zama zao kutabiri vitu ambavyo vilionekana ni vigumu mbele za macho ya wa wanadamu lakini mwisho wa siku vikatokea kama walivyotabiri.
 
Timu inaelewana na kizuri zaidi timu inachukuliwa kama underdog hivyo mpinzani akija na mentality hii lazima ageuziwe matokeo kama alivyofanyiwa vijibibi vya Turin palepale kwao akala kipigo.
Man U fans tujiandae kusherekea kubeba ndo ya UEFA msimu huu 2018/19.
TChao uwe na ushabiki mwema
Comedy kama hizi unazipatia wapi mkuu, nazitafuta sana..
 
Comedy kama hizi unazipatia wapi mkuu, nazitafuta sana..
Huyo hana tofauti na mashabiki wa Mbumbumbu FC wanaokwambia Yanga anabebwa na bahati na upepo,na wao ndio watakuwa Mabingwa wa TPL.
 
Back
Top Bottom