Leicester walikuwa wanapata matokeo na timu ilikuwa na umoja,utulivu,kuelewana na mshikamano mkubwa ila United hadi sasa haina sifa hata moja hapo.Hivi Leicester city ilipoibuka na ikachukua EPL ndani ya vidume vya EPL si kuna jamaa aliitabiria. Sasa kama kitu hicho kidogo kinaonekana kigumu kwa watu wangu wa humu jf. VP ikitokea Man U akabeba ubingwa?
Watu wana utabiri wa ajabu kweli! Nimekuwa mshabiki wa Man U siku zote ila huo upuuzi sikubaliani nao.Leicester walikuwa wanapata matokeo na timu ilikuwa na umoja,utulivu,kuelewana na mshikamano mkubwa ila United hadi sasa haina sifa hata moja hapo.
Manure kuchukua kombe lolote msimu huu ni sawa na kusema Amber Rutty ni bikra!Timu inaelewana na kizuri zaidi timu inachukuliwa kama underdog hivyo mpinzani akija na mentality hii lazima ageuziwe matokeo kama alivyofanyiwa vijibibi vya Turin palepale kwao akala kipigo.
Man U fans tujiandae kusherekea kubeba ndo ya UEFA msimu huu 2018/19.
TChao uwe na ushabiki mwema