Man U kumuuza Lukaku! !

Mavindozii

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2012
Posts
2,111
Reaction score
2,781
Washabiki wa Man naombeni kuwauliza kwa nini Man U walimuuza Huyu Lukaku ?? Niliangalia mechi ya inter Milan week iliyopita Lukaku alifunga goal na leo amefunga Penalty .Kwa upande wangu sijaona kama kiwango chake kimeshuka ,Angebaki tuu Manchester United angetusaidia sana ,
 
Awasaidie kufanya nini?

Uzeeni wachezaji wote muwe mnapigwa tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…