Man u kwanini mmefanya tusiishi kwa furaha?

Man u kwanini mmefanya tusiishi kwa furaha?

Zipuwawa

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2010
Posts
3,050
Reaction score
656
Hakika baada ya Furaha kubwa ya Mvua ya Magoli tuliyoipata kutoka Blackburn jana hali ilikuwa tofauti kwa kufungwa Goli 4 ambazo zimetufanya kelele zote ziishe!

Kweli Man U hamjatutendea haki kabisa!
 
Back
Top Bottom