Zipuwawa JF-Expert Member Joined Nov 28, 2010 Posts 3,050 Reaction score 656 Dec 1, 2010 #1 Hakika baada ya Furaha kubwa ya Mvua ya Magoli tuliyoipata kutoka Blackburn jana hali ilikuwa tofauti kwa kufungwa Goli 4 ambazo zimetufanya kelele zote ziishe! Kweli Man U hamjatutendea haki kabisa!
Hakika baada ya Furaha kubwa ya Mvua ya Magoli tuliyoipata kutoka Blackburn jana hali ilikuwa tofauti kwa kufungwa Goli 4 ambazo zimetufanya kelele zote ziishe! Kweli Man U hamjatutendea haki kabisa!