Man u n barca leo nani zaidi

Man u n barca leo nani zaidi

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
Ingawa ni mchezo wa kirafiki mashabilki wengi wanahamu ya kusubiri matokeo ya mechi ya barca na man u itakayopigwa marekani mida ya saa saba leo usiku
kwa wapenzi wenzangu wa barca msihofu ushindi uko pale pale
kila la lakheri
 
Habari ambazo bado hazijaaminika tetesi tu ... eti FC Barca wanakuja na kombe uwanjani kama Man U itawafunga hapo saa 2 usiku huu basi watawazawadia kama zawadi ....
 
Mbona wanasema saa nane mkuu
 
Mechi itapigwa mjr ya saa 2:00am kwa saa Afrika Mashariki (Usiku wa manane) Nimepita tu!
 
Back
Top Bottom