Man U poleni: Mechi ijayo mnacheza na Liverpool hapo jiandaeni kipigo cha tatu!

Man U poleni: Mechi ijayo mnacheza na Liverpool hapo jiandaeni kipigo cha tatu!

mbingunikwetu

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2015
Posts
13,897
Reaction score
18,477
Mbaya zaidi kipigo kinawafuata hapo Old Traford!

MONDAY 22ND AUGUST​

  • Manchester United Vs Liverpool.
 
Kwani Ronaldo bado ameweka ngumu, au anacheza? Hii timu nayo sijui ina shida gani. Kama vipi iitwe tu Mandonga FC.
 
Kwani Ronaldo bado ameweka ngumu, au anacheza? Hii timu nayo sijui ina shida gani. Kama vipi iitwe tu Mandonga FC.
Ronaldo alicheza dakika zote 90 wakaambulia kichapo cha 4 kwa bila! Akazila hata kuwapungia mikono wachezaji!!
 
Naona Man U itabidi wasubiri vibonde wenzao Southampton mechi yao ya nne ili kuanza kuwafariji mashabiki wao!! Ila tatizo watakuwa ugenini, wasipoangalia wataangukia tena pua mechi yao ya nne!!

SATURDAY 27TH AUGUST​

  • Southampton Vs Manchester United
 
Nahitaji miwani
GridFoto_1660470353660.jpg
 
Cha ajabu kwa liver wanaweza shinda ila wakaja kuachia kwa soton
 
Back
Top Bottom