M mbingunikwetu JF-Expert Member Joined Feb 17, 2015 Posts 13,897 Reaction score 18,477 Aug 14, 2022 #1 Mbaya zaidi kipigo kinawafuata hapo Old Traford! MONDAY 22ND AUGUST Manchester United Vs Liverpool.
Tate Mkuu JF-Expert Member Joined Jan 24, 2019 Posts 33,092 Reaction score 96,127 Aug 14, 2022 #2 Kwani Ronaldo bado ameweka ngumu, au anacheza? Hii timu nayo sijui ina shida gani. Kama vipi iitwe tu Mandonga FC.
Kwani Ronaldo bado ameweka ngumu, au anacheza? Hii timu nayo sijui ina shida gani. Kama vipi iitwe tu Mandonga FC.
M mbingunikwetu JF-Expert Member Joined Feb 17, 2015 Posts 13,897 Reaction score 18,477 Aug 14, 2022 Thread starter #3 Tate Mkuu said: Kwani Ronaldo bado ameweka ngumu, au anacheza? Hii timu nayo sijui ina shida gani. Kama vipi iitwe tu Mandonga FC. Click to expand... Ronaldo alicheza dakika zote 90 wakaambulia kichapo cha 4 kwa bila! Akazila hata kuwapungia mikono wachezaji!!
Tate Mkuu said: Kwani Ronaldo bado ameweka ngumu, au anacheza? Hii timu nayo sijui ina shida gani. Kama vipi iitwe tu Mandonga FC. Click to expand... Ronaldo alicheza dakika zote 90 wakaambulia kichapo cha 4 kwa bila! Akazila hata kuwapungia mikono wachezaji!!
M mbingunikwetu JF-Expert Member Joined Feb 17, 2015 Posts 13,897 Reaction score 18,477 Aug 14, 2022 Thread starter #4 Naona Man U itabidi wasubiri vibonde wenzao Southampton mechi yao ya nne ili kuanza kuwafariji mashabiki wao!! Ila tatizo watakuwa ugenini, wasipoangalia wataangukia tena pua mechi yao ya nne!! SATURDAY 27TH AUGUST Southampton Vs Manchester United
Naona Man U itabidi wasubiri vibonde wenzao Southampton mechi yao ya nne ili kuanza kuwafariji mashabiki wao!! Ila tatizo watakuwa ugenini, wasipoangalia wataangukia tena pua mechi yao ya nne!! SATURDAY 27TH AUGUST Southampton Vs Manchester United
Nihilist JF-Expert Member Joined Jun 11, 2022 Posts 226 Reaction score 353 Aug 14, 2022 #5 Nahitaji miwani
N nguvu JF-Expert Member Joined Jun 13, 2013 Posts 22,976 Reaction score 22,564 Aug 14, 2022 #6 Cha ajabu kwa liver wanaweza shinda ila wakaja kuachia kwa soton
Caesar14 JF-Expert Member Joined Aug 10, 2022 Posts 556 Reaction score 1,044 Aug 14, 2022 #7 nguvu said: Cha ajabu kwa liver wanaweza shinda ila wakaja kuachia kwa soton Click to expand... Never!
nguvu said: Cha ajabu kwa liver wanaweza shinda ila wakaja kuachia kwa soton Click to expand... Never!
N Noti bandia JF-Expert Member Joined May 3, 2020 Posts 2,684 Reaction score 4,315 Aug 15, 2022 #8 Man u ni Simba iliyochangamka tu
Ghiti Milimo JF-Expert Member Joined Jul 18, 2011 Posts 4,748 Reaction score 7,061 Aug 15, 2022 #9 mbingunikwetu said: Ronaldo alicheza dakika zote 90 wakaambulia kichapo cha 4 kwa bila! Akazila hata kuwapungia mikono wachezaji!! Click to expand... Kuwapungia WACHEZAJI tena?
mbingunikwetu said: Ronaldo alicheza dakika zote 90 wakaambulia kichapo cha 4 kwa bila! Akazila hata kuwapungia mikono wachezaji!! Click to expand... Kuwapungia WACHEZAJI tena?