Mavindozii
JF-Expert Member
- Oct 20, 2012
- 2,111
- 2,781
Wakuu wa nchi nimesikia unaweza kuona Live huu mpira kupitia FACEBOOK UNAFANYAJE NIWEZE KUUONA PLEASE.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante mkuu.. Nimeupata, ngoja kwanza nishangilie chamaNenda yutube andika Man u Live, moja kwa moja utaiona
Live kweli au ya zamani, coz nami nmecheki pia upoAsante mkuu.. Nimeupata, ngoja kwanza nishangilie chama
Poa poa, japo nmekuta full time!Cheki mahala pameandikwa live, hapo utacheki moja kwa moja.