Man U vs Stoke City FINAL game 2010!

Man U vs Stoke City FINAL game 2010!

Dakika 21 zinakwenda, bado hakijaeleweka kwa Man U
 
Ebana Nani ni mchezaji mzuri sana... Berbatov kawakosesha magoli kibao! Dakika ya 24 inakwenda hiyo
 
Fletcher anaiandikia Man U bao la kwanza... Dakika ya 30
 
Giggs anaipatia Man U goli la pili..........leo...kazi ipo.......hahaaaaaaaaaa
 
Giggs anaipatia Man U goli la pili..........leo...kazi ipo.......hahaaaaaaaaaa
Naangalia hapa mpaka nacheka, ila Chelsea wamezidiwa kiwango na Wigan (kwa vipimo vya waonyeshaji), hii ni mbaya sana
 
Naangalia hapa mpaka nacheka, ila Chelsea wamezidiwa kiwango na Wigan (kwa vipimo vya waonyeshaji), hii ni mbaya sana
Mkuu hata usijali sana hilo leo punda afe ila mziko ufike sokoni hilo ndo kubwa..
 
Wapi Manda,Belo,Eqylpz,mmbebabox,Idimi,Mtaalam,Roya Roy na wengine??????????????....Leo naona hawaonekani kabisa hapa
 
Wapi Manda,Belo,Eqylpz,mmbebabox,Idimi,Mtaalam,Roya Roy na wengine??????????????....Leo naona hawaonekani kabisa hapa

mzee mimi nipo,kutegemea chelsea kufungwa na wigan,no way
tulivyofungwa na chelsea nilishasema wanadeserve kombe,wamefunga timu zote kubwa man utd,arsenal,liverpool home and away,thats amazing sidhani kama ishawahi kutokea recently
 
Dakika ya 68 inaelekea, bado Man U 3 - Stoke 0
 
Rooney OUT, Park in! Anaonekana hana raha kabisa. Man U mambo si mazuri dakika hizi (75-77)
 
vipi mapicha jamaniii??...............
 
Back
Top Bottom