white wizard
JF-Expert Member
- May 18, 2011
- 8,566
- 13,770
wale hawaangalii ushindi peke yake lengo lake ni kuwajengea uwezo hawa vijana wadogo watakuwa mwiba siku za mbeleni
mpira ndivo ulivo Tanzania tunashindwa match kila siku kwa kutegemea wazee eti ndo wanauwezo bila kujengea uwezo chipukizi.
match ilikuwa nzuri sioni ubaya wa ferguson mwenyewe anajua anachokifanya.
Ferguson ana akili wewe usidhani anafanya mambo kwa kubahatisha. Amepanga vile makusudi ili atolewe asije kukutana na Man City akapigwa sita zingine (natania). Hamna timu pale, kidomo domo kwisha, jana Arsenal wameonesha mpira safi sana wakaotewa bao moja la kubahatisha mkacheka, sasa leo kubakwa na watoto wa daraja la 2 si dhalili hiyo?!
Man Sita Hoyeeeeee!!