Man United mtajaziwa mizigo ya kiholazi mno

kurlzawa

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2018
Posts
16,695
Reaction score
20,633
Habari za mda huu wapendwa

Manyumbu wa man United napenda kuwwambia Kuwa kocha mlienae mmepigwa waholanzi waga wajinga mno

Watawajazia wachezaji uchafu wa kiholanzi VANGAL ALIWAJAZA.

TEN HAG ANAWAJAZA PIA.

soon tu man United itakuwa kama PSV au AJAX au nerthaland national team.

Mkipata mafanikio na kocha wa kiholanzi niiteni ASHURA
 
Sasa Dada Ashura Umechukua content ya Gift Macha chizi mwenzako bila utafiti nawewe unaipost! Taja waholanz wanaochezea Man U kama wanafika ata wawili! Kivyovyote vile ata akisajili waholanz team nzima siso kwetu FURAHA wew endelea kuteseka
 
Wewe mbona ni Ashura siku nyingi au tuongeze Ashura ma kaswende?
 
Soka hamuiwezi jaribuni kumsapoti Mandonga.
 
Dah! Ila umechagua jina zuri!! Mabinti wengi wenye hilo jina la Ashura huwa wanakuwa Pisi kali kweli kweli! 🥰

I wish hiyo timu ipate mafanikio, ili tumpate another Ashura in town.
 
Sasa Dada Ashura Umechukua content ya Gift Macha chizi mwenzako bila utafiti nawewe unaipost! Taja waholanz wanaochezea Man U kama wanafika ata wawili! Kivyovyote vile ata akisajili waholanz team nzima siso kwetu FURAHA wew endelea kuteseka
Atakuambia Ruud van Nisterlooy aliflop
 
Jina la ashura unalipenda sana kuitwa sio mara ya kwanza kuandika uitwe hivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…