thomas_360
JF-Expert Member
- Oct 11, 2015
- 1,458
- 1,432
Daah!! Game ya Jana ilikuwa tamu sana ingawa ndo hivyo MAN U WALICHOMOKA NA POINT 3 HEAVY.....
Mm ni shabiki mkubwa wa Chelsea kwa utangulizi....approach ya game kwa Jana Man u walikuwa wapo vizuri hasa kwa upande wa mabeki kutokana na kuongezeka kwa wan Bisaka na Maguire lakini pia safu yao ya kati ilikuwa haijatulia thanks tu bisaka kwa kuwa alikuwa anasaidia kupandisha mashambulizi...
Pogba alicheza kama CDM so alipata tabu kwakuwa hajazoea kucheza position hiyo Ila still alijitahidi kuonnyesha kuwa yy ni mbabe wa kutoa assists....
Chelsea safu yao ya ushambulizi kwa winger wapo vizur ikisaidiwa na beki anayepanda kama Marcelo yaani Emerson Ila Pedro ni mgumu kufanya maamuzi ya kutoa final assist ni mbinafsi kwa upande mwingine, Abraham yupo vizur Ila kwa nguvu aliyonayo ni ngumu kukabiliana na CB ya man u....
All in all game ilikuwa tamu but mpira unamatokeo matatu...Ingawa kama Man u watahitaji kushinda zaidi kwa game zijazo safu yao ya kati na mbele inahitaji wawe makini lasivyo naona game nyingi watakuwa wanatoa draw au wanapoteza hasa wakikutana na team ambayo haifanyi mashambulizi ya Mara kwa Mara...CHELSEA KWA MPIRA NILIOUONA KAMA WATAENDELEA HIVYO NA WAKAREKEBISHA SAFU YA USHAMBULIZI NA MABEKI WA KATI WAKITULIA NAIONA BIG 4 INAWAHUSU.....