Man United yaanza mazungumzo na Ronaldo

mwekundu

JF-Expert Member
Joined
Mar 4, 2013
Posts
21,859
Reaction score
19,736

Kilabu ya Manchester United imeanzisha mazungumzo na ajenti wa Christiano Ronaldo kwa lengo la kumrudisha Old Trafford.

Siku za usoni za Ronaldo zimejaa uvumi huku kukiwa na madai kwamba mchezaji huyo hafurahii maisha ya Madrid.
Habari hizo zimeifungua macho United na sasa ripoti nchini Uhispania zinasema kuwa Manchester United imeanzisha mazungumzo na ajenti wa mchezaji huyo Jorge Mendes kwa lengo la
kumrudisha mchezaji huyo Old Trafford.

Kulingana na gazeti la Metro nchini Uingereza United ina matumaini ya kumpata Ronaldo kwa kitita cha yuro millioni 100 ambazo ni sawa na pauni millioni 71.1.
Haijulikani iwapo raia huyo wa Ureno atakubali kurudi Manchester United ,licha ya kuipenda kilabu hiyo.
 
Hawawezi kutoa kiasi hicho cha pesa kwa mchezaji mwenye miaka 30
 
He is not happy at all with the direction of the team, and if they are careful next season CR will don MANU's jersey.
 
Yaani kuhamia man utd ni sawa na kula mavi akidhani ni keki
 
Hii ni habara njema na ni zuri sana kwa mashabiki wa Manchester United!

Mtakuwa wajinga kutoa kiasi hicho cha pesa kwa mchezaji ambaye ni 30, na ukweli ni kwamba Ronaldo hawezi kuimprove tena, kishafika ukomo, kinachofuata ni kushuka ngazi. Manager yeyote aliye smart hawezi mnununua kwa hilo dau!! Hizi ni ndoto za kujifurahisha Manu fans.
Why signing a prima dona anyway aje chafua dressing room attitude? Ronaldo is toooo big, ni Fergie kwa Uingereza ndo manager pekee wa kum-handle!
 

Sema watakuwa wajinga...wapumbavu kama umewatukana....
 
Unaujua Mpira?JF ulijiunga lini? Habari zingine hata usipoziwekea source hazina madhara mkuu

Hapa haijalishi mtu kajiunga lini. no research no right to speak! reference niuhimu
 

Former United manager Ferguson came to Madrid on Tuesday to convince Cristiano to head back to Man United. [Via: AS]


Sir Alex Ferguson had dinner with Cristiano after the RM vs Schalke match trying to persuade him to come back to MUFC.
[via : @matallanas]

Yaani kama Man United wakikubali kutoa hicho kitita cha €100 million Ronaldo ni wao na itakuwa habari njema kwa Frolentino Perez kwani jamaa ni matumizi makubwa sana kwa klabu.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…