Man United yamsaliti Mason Greenwood

Man United yamsaliti Mason Greenwood

pwilo

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2015
Posts
10,913
Reaction score
13,876
Habari za wakati huu wakuu,

Kwa siku za karibuni kumekuwa na wimbi la mastaa kufunguliwa kesi za ubakaji au za unyanyasaji wa kijinsia kutoka kwa wenza wao, sasa unaambia hali sio shwari pale Old Trafford baada ya mchezaji wao mason Greenwood kufunguliwa kesi ya unyanyasaji wa kijinsia kutoka kwa mpenzi wake na kupelekea kukaa ndani kwa muda kabla ya kupewa dhamana.

Kitendo cha Manchester United kumtenga na kumuondoa Greenwood kwenye kikosi hicho kabla hata hukumu haijatoka ili kujua kwamba ana hatia au hana baadhi ya mastaa hawakubaliani nacho na wanaona kama ni usaliti kwa mwenzao kwani hukumu bado haijatoka katika kipindi hichi walitakiwa wawe naye pamoja na wampe ushirikiano kuliko kipindi chote cha maisha yao wakiwa old Trafford ila hali imekuwa tofauti kwao.

Tangu afunguliwe kesi baadhi ya wachezaji wenzake wamekata mawasiliano nae ikiwemo kujiondoa katika mitandao ya kijamii (unfollow) wakati huo club ya Manchester United wakitoa ofa ya kubadilisha jezi yake buree na kupewa jezi nyingine unayoitaka kumbuka yote yanafanyika ila hukumu haijatoka bado.

Baadhi ya mastaa wakiongozwa na Jese Lingard hawapendezwi na hali hiyo kwani hukumu bado haijatoka na kujua kama ana hatia au laa na kuifanya timu iwe na makundi mawili hasa ule upande wa wachezaji wenzake anaocheza nao timu ya taifa wanahisi anachofanyiwa muingereza mwenzao sio sahii kwani hukumu bado haijatoka na hastahili yote hayo.

Kumbuka mchezaji wa Manchester city BENJAMIN MENDY na yeye anakabiliwa na mashtaka kama hayo yakiwa yamefikia tisa kwa sasa ila club yake haija chukua uamuzi kama wa Manchester United kwani bado hukumu haijatoka na wanampa ushirikiano japokuwa wamesitisha mkataba mpaka hukumu itakapo toka ila sio kupiga marufuku jezi yake na kumondoa kwenye social media.

Kwa hali ilivyo kwa sasa man United mmoja lazima akubali matokeo ambao ni upande wa C.RONALDO au Jesse lingard ambapo kwenye mchezo uliopita aliomba asipangwe licha ya kukanusha ila nikusimamia msimamo juu ya rafiki yake au kocha wa muda mmoja wapo lazima akubali yaishe ila kwa sakata hili linahitaji mda pale man United ili iweze kurudi kama zamani na kupata matokeo mazuri.

N:B Rafiki wa kweli ni wazazi wetu wengine wote ni wanafiki tu hivyo tusijisahau,

Pole mason Greenwood hukustahili haya yote.
 
Nivitu vya ajabu Sana Yani mtu hata hukumu Bdo washakucut off na ukiangalia greenwood Bdo mdogo Sana hii kitu inaweza muaffect Sana katka career yake
 
Nimeona video ya mdada na nimesikiliza audio katika audio Greenwood (kama ni kweli) anasikika akisema

G: inua miguu.

Binti: Mi sitaki kuinua miguu.

G: Inua miguu mjinga wewe.

Binti: Mi sitaki kufanya mapenzi.

G: Utafanya

Binti: Usiingize uume wako.

G: Ndo nakutia mjinga wewe.

Sasa kwa wenzetu wanaona binti alishasema hataki so hapo Greenwood amebaka.

United imesema inasubiri facts za mahakama ila kwa sasa asiende mazoezini wala kwenye mechi. Nike wamemkata kabisa na wadhamini wengine wanasubiri majibu ya mahakama.

Polisi wanachunguza kama audio na video havijaeditiwa.

Kama ni kweli amefanya anayohusishwa nayo career yake ameizika mwenyewe.
 
Habari za wakati huu wakuu,

Kwa siku za karibuni kumekuwa na wimbi la mastaa kufunguliwa kesi za ubakaji au za unyanyasaji wa kijinsia kutoka kwa wenza wao, sasa unaambia hali sio shwari pale Old Trafford baada ya mchezaji wao mason Greenwood kufunguliwa kesi ya unyanyasaji wa kijinsia kutoka kwa mpenzi wake na kupelekea kukaa ndani kwa muda kabla ya kupewa dhamana.

Kitendo cha Manchester United kumtenga na kumuondoa Greenwood kwenye kikosi hicho kabla hata hukumu haijatoka ili kujua kwamba ana hatia au hana baadhi ya mastaa hawakubaliani nacho na wanaona kama ni usaliti kwa mwenzao kwani hukumu bado haijatoka katika kipindi hichi walitakiwa wawe naye pamoja na wampe ushirikiano kuliko kipindi chote cha maisha yao wakiwa old Trafford ila hali imekuwa tofauti kwao.

Tangu afunguliwe kesi baadhi ya wachezaji wenzake wamekata mawasiliano nae ikiwemo kujiondoa katika mitandao ya kijamii (unfollow) wakati huo club ya Manchester United wakitoa ofa ya kubadilisha jezi yake buree na kupewa jezi nyingine unayoitaka kumbuka yote yanafanyika ila hukumu haijatoka bado.

Baadhi ya mastaa wakiongozwa na Jese Lingard hawapendezwi na hali hiyo kwani hukumu bado haijatoka na kujua kama ana hatia au laa na kuifanya timu iwe na makundi mawili hasa ule upande wa wachezaji wenzake anaocheza nao timu ya taifa wanahisi anachofanyiwa muingereza mwenzao sio sahii kwani hukumu bado haijatoka na hastahili yote hayo.

Kumbuka mchezaji wa Manchester city BENJAMIN MENDY na yeye anakabiliwa na mashtaka kama hayo yakiwa yamefikia tisa kwa sasa ila club yake haija chukua uamuzi kama wa Manchester United kwani bado hukumu haijatoka na wanampa ushirikiano japokuwa wamesitisha mkataba mpaka hukumu itakapo toka ila sio kupiga marufuku jezi yake na kumondoa kwenye social media.

Kwa hali ilivyo kwa sasa man United mmoja lazima akubali matokeo ambao ni upande wa C.RONALDO au Jesse lingard ambapo kwenye mchezo uliopita aliomba asipangwe licha ya kukanusha ila nikusimamia msimamo juu ya rafiki yake au kocha wa muda mmoja wapo lazima akubali yaishe ila kwa sakata hili linahitaji mda pale man United ili iweze kurudi kama zamani na kupata matokeo mazuri.

N:B Rafiki wa kweli ni wazazi wetu wengine wote ni wanafiki tu hivyo tusijisahau,

Pole mason Greenwood hukustahili haya yote.
Ubaguzi kwasababu yeye ni mweusi
 
Kwa kosa alilofanya hata angekua mweupe wangemtosa tu
Mbona akina Terry walifanya ngono lakini haikuwa nongwa, Wanawake wa kizungu wanauhuru uliopitiliza na wanazarau ngozi nyeusi wanaenda kuuchuna pesa tu
 
Mbona hujazungumzia Nike na Cadbury waliokuwa sponsors wake?

Sent from my SM-A405FN using JamiiForums mobile app
 
City haijafanya kama United unauhakika? Leta hapa picha ya Mendy kutoka kwenye page ya City kama ipo.....[walitoa zote na wamemsuspend kama Greenwood]

Pia unaposema "walitakiwa wawe naye pamoja na wampe ushirikiano kuliko kipindi chote cha maisha yake" haujui kama ile ni biashara na inaongozwa kwa misingi ya Sheria kumuacha Greenwood na kutumia hisia za kibinadamu kungesababisha hasara kubwa kibiashara.....

Kama yeye greenwood alifanya vile akijua madhara yake basi apambane, Man united ilimpa platform ya yeye kujulikana na kupata maisha, issue ya kutumia fame vibaya ni suala lake
 
Wazungu mbato kimbia heri ukaoe walatino kuliko hao whites hasa wa uingereza

Ronaldo kakimbilia kwa mlatino wa kiagentiana jamaa kasahau kabisa ukicheche wake wa enzi zile anapewa mapenzi shata shata ya kilatino.
 
Mbona akina Terry walifanya ngono lakini haikuwa nongwa, Wanawake wa kizungu wanauhuru uliopitiliza na wanazarau ngozi nyeusi wanaenda kuuchuna pesa tu
Tofautisha ngono na kubaka na kujeruhi

Huyo huku kwetu kwenyewe ni miaka 30 jela… kungonoka huendi jela

Kubaka na kupiga ni jela tu

Dogo kaharibu sana
 
Wazungu mbato kimbia heri ukaoe walatino kuliko hao whites hasa wa uingereza

Ronaldo kakimbilia kwa mlatino wa kiagentiana jamaa kasahau kabisa ukicheche wake wa enzi zile anapewa mapenzi shata shata ya kilatino.
Latina ukibaka anaweza kukuua usiwaxhukulie poa
 
Nyoosha maelezo,
unyanyasaji wa kijinsia Ni suala pana.

Alimfanya fanyaje uyo mwenzake alimbaka?, alimfiller?,alimpiga?, alimvua nguo hadharan?, alimtukana hadharan?,

Au alimfanyaje Sasa[emoji848]
 
Mpaka Nike wameamua kum-drop ujue kuna kitu . Itakua wana inside information

Mpaka wachezaji wenzie ambao wako nae kila siku wanatrain pamoja wanajua tabia zake wameamua kumu unfollow ujue kuna kitu

Mpaka Man United ambayo ninaamini ina wanasheria nguli wameamua kutojihusisha nae, itakua wameshachungulia wakaona ngoma ngumu ujue kuna kitu tuu
 
City haijafanya kama United unauhakika? Leta hapa picha ya Mendy kutoka kwenye page ya City kama ipo.....[walitoa zote na wamemsuspend kama Greenwood]

Pia unaposema "walitakiwa wawe naye pamoja na wampe ushirikiano kuliko kipindi chote cha maisha yake" haujui kama ile ni biashara na inaongozwa kwa misingi ya Sheria kumuacha Greenwood na kutumia hisia za kibinadamu kungesababisha hasara kubwa kibiashara.....

Kama yeye greenwood alifanya vile akijua madhara yake basi apambane, Man united ilimpa platform ya yeye kujulikana na kupata maisha, issue ya kutumia fame vibaya ni suala lake
Umesoma vizuri bandiko langu mkuu
Point yangu ni kwamba yeye ni mshtakiwa na bado hukumu haijatoka kwa nn wachukue maamuzi hayo ya kikatili dhidi ya mtuhumiwa nakupa mfano ;

MESSI kuna kipindi alikuwa na kesi ya kukwepa kodi club yake ya Barcelona ilikuwa naye bega kwa bega mpaka kesi ikaisha bila vikwazo vyovyote.

RONALDO alishawahi kuwa na skendo kama hiyo ya madai ya kubaka club yake ilimpa ushirikiano mpaka swala lile likaisha bila vikwazo.

BENZEMA alifungiwa na chama cha soka cha nchini ufaransa kwa madai kama hayo akasugua benchi miaka mitano bila kucheza team ya taifa uliona madrid walimtenga au kubadilisha jezi zake na ku mu unfollow mitandaoni.

Kwa nn iwe kwa Greenwood?
 
Nyoosha maelezo,
unyanyasaji wa kijinsia Ni suala pana.

Alimfanya fanyaje uyo mwenzake alimbaka?, alimfiller?,alimpiga?, alimvua nguo hadharan?, alimtukana hadharan?,

Au alimfanyaje Sasa[emoji848]
Mkuu ni kufanya mapenzi kwa lazima hali iliyopelekea binti kuwa na maumivu ya kupigwa na majeraha machache.
 
Back
Top Bottom