mKaLI_mOkO
Member
- Aug 6, 2011
- 25
- 4
kwa kipigo cha kihistoria kabisa kuwahi kutokea kati ya man utd na arsenal , 8-2 hatimaye msiba mkubwa sana umepelekwa kwa jamii ya washika bunduki wa jiji la London. kijana etu Welbeck alianzisha hiyo mvua ya mawe na kupisha njia Rooney, Ashley Young na Ji Sung....
kipa wetu bwana mdogo De Gea hakua nyuma kuonesha umahiri wake. inshort wadau vijana wa OT wamenipa raha sana leo..poleni sana ndugu zangu washika bunduki wa arsenali...
8-2 duh! kweli "whatever City can DO, United can DO BETTER"