Kweli kabisaaBado mawili mzee
Kunaendeleaje huko wazee.Kweli kabisaa
HahahahahahahahahahahahajahahahahajahahahahahahajajajjaajajajajNaomba niingie kama Mod niufute huu uzi tafadhali
Ha ha haMtanikumbuka. Kila timu anayoipa ushindi huyu jamaa huwa inafungwa. Ushauri wangu wale wa kubet mpeni ushindi Man utd pesa ya bure hii.
Hahaha mkuu kama nakuona ulivyokuwa unatetemeka!!!Ha ha ha
upo wapi ?Unamaanisha atapaki basi
NipoMkuu bado upo kwenye huu uzi wako au umekimbia kama kawaida yako.
Bipi kwema humu ??? Hamjambo
Kushabikia Chelsea ni u mama.