Mjina Mrefu
JF-Expert Member
- Dec 6, 2016
- 3,045
- 3,389
Sasa unaifananisha Chelsea na Newcastle??Wakuu,
Niweke wazi kuwa, mimi ni Shabiki kindaki ndaki wa Man United.
Haya ninayoyasema, ni ukweli mtupu na nikutokana na kuwa, mizani imeelemea upande wa man Utd.
Man utd kufanya come back ya nguvu vs Newcastle na bodi ya Utd kuweka wazi kuwa, Mourinho is the right man for the job hata afungwe vipi hafukuzwi, basi hivi ndivyo vitavyoipa nguvu utd kuifunga Chelsea Jumamosi.
Chelsea anakufa vizur kabisa kwenye uwanja wake wa nyumbani. Wapo mtaobisha ila ipo wazi.
Najua blues mtavimba na kubisha ila tuje hapa Jumamosi jioni kupeana Mlisho-Nyuma
Sasa unaifananisha Chelsea na Newcastle??
Anaongea kishabiki kuliko uhalisia.....anadhani Nyukasto ni sawa na The Blues.Sasa unaifananisha Chelsea na Newcastle??
Newcastle mwenywe kidogo amkaze pale 0.T halaf amesahau kwamba chelsea ndio timu inayoongoza kuifunga Manchester United kwanzia msimu wa 1992/93Anaongea kishabiki kuliko uhalisia.....anadhani Nyukasto ni sawa na The Blues.
Umeongea kishabiki zaidi
nmecheki odds zao ni che 1.6 na man u 5.7 sasa hapo ndo utajua nani atashinda.
this is blues
Hakuna tofauti... Chelsea mtoto sana kwa man Utd... Tena bora NewcastleSasa unaifananisha Chelsea na Newcastle??
Newcastle mwenywe kidogo amkaze pale 0.T halaf amesahau kwamba chelsea ndio timu inayoongoza kuifunga Manchester United kwanzia msimu wa 1992/93
Tukutane tu kwenye jukwaa letu tujue uelekeo wa pesa zetuNikajua umekuja na point ya msingi ili niandae kabisa mzigo wa kutosha niiue timu yangu... Kumbe na wewe mnazii.. Haya.
Shughul gan wakat tushamgonga kwake mbili ??Mnajua kma huyo chelsea akikutana na newcastle shuhuli anayoipata?
Jumamosi usikimbie humu kawaida Chelsea hatunaga maneno mengiHakuna tofauti... Chelsea mtoto sana kwa man Utd... Tena bora Newcastle
Ndomana mnaliwa pesa zenu kila sikunmecheki odds zao ni che 1.6 na man u 5.7 sasa hapo ndo utajua nani atashinda.
this is blues