Man Utd kuifunga Chelsea Jumamosi

Man Utd kuifunga Chelsea Jumamosi

Mjina Mrefu

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2016
Posts
3,045
Reaction score
3,389
Wakuu,

Niweke wazi kuwa, mimi ni Shabiki kindaki ndaki wa Man United.

Haya ninayoyasema, ni ukweli mtupu na nikutokana na kuwa, mizani imeelemea upande wa man Utd.

Man utd kufanya come back ya nguvu vs Newcastle na bodi ya Utd kuweka wazi kuwa, Mourinho is the right man for the job hata afungwe vipi hafukuzwi, basi hivi ndivyo vitavyoipa nguvu utd kuifunga Chelsea Jumamosi.

Chelsea anakufa vizur kabisa kwenye uwanja wake wa nyumbani. Wapo mtaobisha ila ipo wazi.

Najua blues mtavimba na kubisha ila tuje hapa Jumamosi jioni kupeana Mlisho-Nyuma
 
Ni kweli Man atashinda hiyo mechi ila itampa laana atafungwa mechi mfululizo mpaka jose atatimuliwa
 
Wakuu,

Niweke wazi kuwa, mimi ni Shabiki kindaki ndaki wa Man United.

Haya ninayoyasema, ni ukweli mtupu na nikutokana na kuwa, mizani imeelemea upande wa man Utd.

Man utd kufanya come back ya nguvu vs Newcastle na bodi ya Utd kuweka wazi kuwa, Mourinho is the right man for the job hata afungwe vipi hafukuzwi, basi hivi ndivyo vitavyoipa nguvu utd kuifunga Chelsea Jumamosi.

Chelsea anakufa vizur kabisa kwenye uwanja wake wa nyumbani. Wapo mtaobisha ila ipo wazi.

Najua blues mtavimba na kubisha ila tuje hapa Jumamosi jioni kupeana Mlisho-Nyuma
Sasa unaifananisha Chelsea na Newcastle??
 
Mnajua kma huyo chelsea akikutana na newcastle shuhuli anayoipata?
 
Mimi shabiki wa United siungi mkono hilo,kwa soka letu la sasa hii mechi tukifungwa chache 4
 
Nikajua umekuja na point ya msingi ili niandae kabisa mzigo wa kutosha niiue timu yangu... Kumbe na wewe mnazii.. Haya.
 
Back
Top Bottom