Man utd na real kukutana katika champs??

Man utd na real kukutana katika champs??

Konaball

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2009
Posts
2,949
Reaction score
1,940
Inaweza kutokea timu za Man Utd na Real Madrid kukutana katika atua za makundi katika Champpions League mwaka kutokana na kuweka kwenye Pot tofauti pia kuna uwezekano wa Chalsea na Inter kukutana kwenye atua ya makundi angalia POT zilivyo

Pot one

Barcelona
CHELSEA
LIVERPOOL
MANCHESTER UNITED
AC Milan
ARSENAL
Sevilla
Bayern Munich


Pot Two

Lyon
Inter Milan
Real Madrid
CSKA Moscow
Porto
AZ Alkmaar
Juventus
RANGERS


Pot Three

Olympiakos
Marseille
Dinamo Kiev
Stuttgart
Fiorentina
Atletico Madrid
Bordeaux
Besiktas


Pot Four

Wolfsburg
Standard Liege
Maccabi Haifa
FC Zurich
Rubin Kazan
Unirea Urziceni
APOEL Nicosia
Debrecen
 
Let's wait some few hours up to 19:00Hrs kitendawili kitateguliwa!
 
Mods tafadhali futeni hii thread haina maana tena.
 
Back
Top Bottom