Man utd tuongeze sauti au inatosha?

Man utd tuongeze sauti au inatosha?

venance7

JF-Expert Member
Joined
May 15, 2019
Posts
558
Reaction score
1,645
West Ham 2 man utd 0,ila kiufupi hawa makocha wa muda au wazawa huwa wanazingua sana, baada ya Lampard kutimuliwa Chelsea siku chache zijazo namuona Ole sendeka akifuata.
 
Ole masai mbona ameshafukuzwa toka asubuhi
 
Man u top 4 wasau tena kwa mcm huu na wazee wa mikeka waiingalie hii tm kwa jcho m badala
 
Man utd kwakweli mnatia huruma!
Inabidi muende kwa Ferguson hata kama saa nane usku, mwambien hampati usingz kwa sababu ya matokeo mabaya ya utd. Muulizeni mnakosea nini kwa timu yenu kuwa mbovu? Bila shaka atawapa sababu
West Ham 2 man utd 0,ila kiufupi hawa makocha wa muda au wazawa huwa wanazingua sana, baada ya Lampard kutimuliwa Chelsea siku chache zijazo namuona Ole sendeka akifuata.
 
Mleta mada acha upumbafu rampad hafukuzwi Chelsea hata kwa dawa wala kwa dakika moja

Huyo ni kocha wa kudumu pale Chelsea

Waulize Liverpool leo moto tuliowapelekea waishukuru VR
Mimi mwenyewe Chelsea wewe cjui Malaya,alafu unaanzaje kujisifia kuwa tumewapelekea moto Liverpool?haya baada ya huo moto tumeongeza point ngapi?ushabiki usichanganye na mapenzi ya timu kijana lampard viatu havimtoshi alihitaji muda zaidi kabla ya kupewa timu ile,kingine jua kutofautisha kati ya "r" na "l", anaitwa lampard na sio rampard,niongeze sauti?
 
Umesahau pia kumwambia inaitwa VAR na si VR
 
Back
Top Bottom