West Ham 2 man utd 0,ila kiufupi hawa makocha wa muda au wazawa huwa wanazingua sana, baada ya Lampard kutimuliwa Chelsea siku chache zijazo namuona Ole sendeka akifuata.
ACHA UCHAWI MZEEManyu akifungwa raha sana
Wikiendi inaisha uzuri kabisa
Mimi mwenyewe Chelsea wewe cjui Malaya,alafu unaanzaje kujisifia kuwa tumewapelekea moto Liverpool?haya baada ya huo moto tumeongeza point ngapi?ushabiki usichanganye na mapenzi ya timu kijana lampard viatu havimtoshi alihitaji muda zaidi kabla ya kupewa timu ile,kingine jua kutofautisha kati ya "r" na "l", anaitwa lampard na sio rampard,niongeze sauti?Mleta mada acha upumbafu rampad hafukuzwi Chelsea hata kwa dawa wala kwa dakika moja
Huyo ni kocha wa kudumu pale Chelsea
Waulize Liverpool leo moto tuliowapelekea waishukuru VR
Umesahau pia kumwambia inaitwa VAR na si VRMimi mwenyewe Chelsea wewe cjui Malaya,alafu unaanzaje kujisifia kuwa tumewapelekea moto Liverpool?haya baada ya huo moto tumeongeza point ngapi?ushabiki usichanganye na mapenzi ya timu kijana lampard viatu havimtoshi alihitaji muda zaidi kabla ya kupewa timu ile,kingine jua kutofautisha kati ya "r" na "l", anaitwa lampard na sio rampard,niongeze sauti?