Bahati furaha JF-Expert Member Joined Jul 11, 2012 Posts 3,054 Reaction score 1,415 Jan 28, 2016 #1 Habari zenyu wanaspot wote. Naomba mwenye link au namna yoyote ya kupata mechi ya UEFA C L baina ya timu tajwa aiweke hapa. Mechi hiyo ilichezwa 23/4/2003. Kwa kumbukumbu kidogo: Naamini kwa ubora wa jukwaa hili jambo hili linawezekana. Karibuni.
Habari zenyu wanaspot wote. Naomba mwenye link au namna yoyote ya kupata mechi ya UEFA C L baina ya timu tajwa aiweke hapa. Mechi hiyo ilichezwa 23/4/2003. Kwa kumbukumbu kidogo: Naamini kwa ubora wa jukwaa hili jambo hili linawezekana. Karibuni.
M Mmbu JF-Expert Member Joined Jun 24, 2014 Posts 401 Reaction score 132 Jan 29, 2016 #2 Hii mechi hata Mimi naitafuta sana mdau japo Ronaldo de Lima alitunyoosha sana was a fantastic game